Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Rais Magufuli aomba kura Mwanza. John Pombe Magufuli leo tarehe 10 Agosti, 2016 ameanza ziara ya siku mbili katika mikoa ya Geita na Mwanza baada ya kumaliza mapumziko mafupi nyumbani kwake Chato Mkoani Geita. “Kwenye bajeti ya mwaka huu, tumetenga shilingi bilioni 15 kwa ajili ya kufanya ukarabati mkubwa wa meli zingine ikiwepo meli kubwa ya MV Umoja iweze kuwa inabeba mabehewa mengi zaidi. “Tunaupanua uwanja huu wa Mwanza, ndege yoyote kutoka nchi yoyote itatua hapa, tuongeze watalii, tukuze uchumi wetu. Yaliofanyika leo 29-3-2020. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. ... Shinyanga, Simiyu, Mara na leo amehutubia mkoani Mwanza na mara baada ya kukamilisha ziara ya Mwanza, ataelekea Mkoa wa Geita. “Katika suala la kuboresha elimu tumekarabati Shule za Sekondari; Nganza, Bwiru Boys, Bwiru Girls, Pamba, Mwanza na Chuo cha Walimu, Murutunguru Ukerewe. RAIS John Magufuli ameagiza zitolewa Shilingi bilioni tisa kwa ajili ya upanuzi wa uwanja wa ndege wa Jiji la Mwanza, anaandika Moses Mseti. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers. Sehemu ya Wananchi waliohudhuria katika Mkutano ya Kampeni ya Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika leo tarehe 7 Septemba, 2020 jijini Mwanza kumsikiliza mgombea wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. PAMOJA na Rais John Magufuli kuwataka Meya wa Jiji la Mwanza, James Bwire, Mkuu wa Mkoa, John Mongela na Mkurugenzi wa jiji hilo, Kiomoni Kibamba kwa kuwa wote ni wanachama wa CCM, hali imezidi kuwa mbaya baada ya madiwani wa baraza hilo kushikilia msimamo wao wa kutokuwa na imani na meya huyo, anaandika Moses Mseti. Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Magufuli akihutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni … Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. John Pombe Magufuli akisalimiana na Viongozi wa Dini mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza leo kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Wamesema, wabunge na wananchi wao hao wa Dar es Salaam, hawapaswi kulalamikia sh. Rais MAGUFULI amefungua daraja hilo muda mfupi baada ya kuwasili Mjini Mwanza ambako leo ameanza ziara ya kikazi ya siku 2. Part of the Citizens who attended the CCM Revolutionary Party Campaign … MAGUFULI AFUNGA KAZI MWANZA KATIKA MKUTANO WA KAMPENI, LEO Bashir Nkoromo. Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais Mhe .Samia Suluhu Hassan pamoja na balozi wa Canada nchini Mhe. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Magufuli alipata elimu ya msingi katika shule ya msingi huko huko Chato kuanzia mwaka 1967 hadi 1975 na baadaye akajiunga na shule ya sekondari ya Lake iliyoko Mwanza mwaka 1977 hadi 1978. 100 iliyoongezeka […] “Nimefurahi sana wananchi wa Mwanza, kimbunga kilichotokea hapa sitakisahau maishani mwangu, tunashukuru sana kwa sababu mmetuamini, mmetuonyesha upendo wa pekee. John Pombe Magufuli, leo tarehe 3 Julai, 2017 amewasili mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi ya siku mbili na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongela pamoja na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Mwanza. 🔴#LIVE: Kampeni za Magufuli Katika CCM Kirumba Mwanza. Ujio wa Rais Magufuli hii leo Jijini Mwanza by Binagi Media Group. Msafara wa mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli ukiondoka uwanja eneo la uwanja wa ndege wa Mwanza kuelekea ofisi za CCM mkoa wa Mwanza kwa ajili ya … John Pombe Magufuli akiangalia ngoma za asili kutoka katika kikundi cha Bujora mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza. MAGUFULI AFUNGA KAZI MWANZA KATIKA MKUTANO WA KAMPENI, LEO. Mix. September 7, 2020 by Global Publishers. Madiwani 18 kati ya 24 wa baraza la madiwani wa Jiji hilo, … “Nilikuwa natoka Igogo, napita Bugando, Mwanza Seco, Mtaa wa Rufiji mpaka shuleni Lake Secondary. Wakizungumza leo Septemba 7,2020 katika Uwanja wa CCM jijini Mwanza kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa CCM Dk.Magufuli wabunge hao wamesema kazi kubwa iliyofanywa na Rais Magufuli kuna kila sababu ya kuoneshwa heshima kwa kupewa kura … Magufuli ametoa kauli hiyo hii leo Septemba 7, 2020, na kuwaahidi wana Mwanza wanaokaa milimani kuwa, katika kipindi kijacho hakuna mwananchi yoyote atakayebomolewa nyumba yake na huduma zote zitawafuata huko huko waliko. Miongoni mwa mambo aliyoyasema ni yafuatayo: “Nimefurahi sana kuukuta Uwanja wa CCM Kirumba umejaa wote, kuanzia sehemu ambayo wanamichezo huwa wanachezea mpaka kwenye viti, na wengine wameshindwa kuingia wapo nje, ni upendo wa dhati, hii ni dalili nzuri ya ushindi, wanaojitokezatokeza wataisoma namba. Part of the crowd of thousands of people turned out to listen to the Presidential Candidate of the Revolutionary Party and Chairman of the ruling party President of the United Republic of Tanzania Dr. John Pombe Magufuli at his campaign rally at CCM Kirumba Stadium in Mwanza today Monday September 7, 2020 . MGOMBEA URAIS WA CCM DK. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli, ameongoza watanzania katika mapokezi ya ndege ya Bombardier Q400 jijini Mwanza leo Desemba 14, 2019.Katika hotuba yake Rais Maguful… 8:26 PM. Video: Maneno ya Rais Magufuli Dec 7 uwekaji wa jiwe la msingi huko Mwanza. John Pombe Magufuli akiongea na kuagana na maelfu ya wananchi eneo la Misungwi mkoani Mwanza akiwa njiani kuelekea mkoa wa … Monday, October 30, 2017. John Pombe Magufuli katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia Wananchi wa jiji la Mwanza waliojitokeza kwa wingi jioni ya leo. MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo Jumatatu, Septemba 7, 2020, yupo katika Uwanja wa CCM Kirumba kuhutubia mkutano wa hadhara wa kampenzi zake za urais jijini Mwanza. MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo Jumatatu, Septemba 7, 2020, yupo katika Uwanja wa CCM Kirumba kuhutubia Mkutano wa hadhara wa kampenzi zake za Urais Jijini Mwanza. September 7, 2020 by Global Publishers. John Pombe Magufuli akizungumza na Wafungwa, Mahabusu, pamoja na Askari wa Jeshi la Magereza katika Gereza la Butimba mkoani Mwanza. John Pombe Magufuli, juu ya kupandishwa kwa nauli ya kivuko cha Magogoni. Nawaomba CCM, ACT, Chadema, vyama vyote na msio na vyama, Oktoba 28 mtupatie kura za kishindo.”, Mama Samia Aapishwa Kuwa Rais wa Tanzania – Video, Breaking News: Rais Magufuli Afariki Dunia – Video, Fundi Simu Akamatwa Kwa Kusambaza Uzushi ‘JPM Mgonjwa’, Copyright 2020 Global Publishers | All Rights Reserved. O’Donnell na viongozi wengine akikata utepe kuashiria kuipokea rasmi ndege mpya ya DE Havilland DASH8-400 Katika uwanja wa ndege Mwanza jumamosi 14,2019 Kuwa mstaarabu... Matokeo Ya Upimaji Wa Kitaifa Ya Kidato Cha Pili (Ftna) 2018 Na Darasa La Nne (Sfna) 2018 Yametangazwa  BOFYA HAPA KUANGALIA MATOKEO ... BARAZA la Taifa la mitihani limetangaza matokeo ya kuhitimu elimu ya shule ya Msingi (PSLE 2019 Examination Result). Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma … Rais John Magufuli amesikitishwa na vifo vya watu 12 walipoteza maisha katika ajali ya maji baada ya gari aina ya Hiace iliyokuwa imewabeba abiria hao kuteleza kutoka katika kivuko na kuzama kwenye Ziwa Victoria mchana wa leo jijini Mwanza. BODI ya Barabara Mkoani Mwanza, imewashambulia kwa maneno na kuwaonya Wabunge na wananchi wa Jijini Dar es Salaam kuacha mara moja kumtukana na kumkejeri Waziri wa Ujenzi, Dk. Monday, September 07, 2020,featured,siasa. Wapo wanaobeza atapigiwa kura na madaraja, hao wanaobeza wafundisheni siku ya uchaguzi, watu wanaopita kwenye hayo madaraja kama la Furahisha, wanaotibiwa kwenye hospitali tulizojenga, watanipigia kura Oktoba 28. 3.2 mkoani Mwanza leo Jumatatu Desemba 28, 2020. Dkt. Tumeanza ujenzi wa reli ya kisasa kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma na juzi tumetangaza tenda ya kuanza kujenga Standard Gauge kutoka Mwanza kwenda Isaka kilomita 250. John Pombe Magufuli leo. Alichaguliwa Oktoba 2015 na kurithi mikoba ya Jakaya Mrisho Kikwete. Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo. Magufuli: Kimbunga cha Leo Mwanza Sitakisahau – Video. John Pombe Joseph Magufuli ndiye rais wa tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na wananchi baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Darala la Kigongo-Busisi la urefu wa kilomita 3.2 mkoani Mwanza leo Jumatatu Desemba 28, 2020 Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli John Pombe Magufuli katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa Chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Kila siku nilikuwa natembea kwa miguu, nimeishi Kitangiri wakati nafanya kazi na mke wangu alikuwa anafundisha Shule ya Msingi Kitangiri, Mwanza ninajiona ni nyumbani. Katika malalamiko yake kwa Rais Magufuli leo (Feb 20, 2020) wakati wa maadhimisho ya Siku ya Madaktari Tanzania yaliyofanyika jijini Dar es Salaam, Mnyaga aliyekuwa akimiliki chuo cha afya mkoani Mwanza, amesema aliletewa mitihani yenye dosari na alivyotoa malalamiko kwa mamlaka hayakuwafanyiwa kazi. MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo Jumatatu, Septemba 7, 2020, yupo katika Uwanja wa CCM Kirumba kuhutubia mkutano wa hadhara wa kampenzi zake za urais jijini Mwanza. Akiwa mkoani hapa Mhe. Ni mwanasiasa mwenye sifa ya … Video:Tazama Rais Magufuli akipiga ngoma, shangwe za band huko Mwanza. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Ametoa agizo hilo leo alipofungua daraja la wapita kwa miguu la Furahisha lililpo jijini Mwanza na kusema kuwa mradi huo ni muhimu kwa wakazi wa Mwanza. Shughuli hiyo imefanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam, na imehudhuriwa baadhi ya watu wakiwemo wanafamilia na viongozi wa serikali. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Wafungwa 75 waachiwa huru katika gereza alilotembelea Rais Magufuli mkoani Mwanza, DPP atoa onyo kali kwa wanaobambikizia watu kesi Ikiwa zimepita siku mbili tangu Rais Dkt. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoka katika Gereza Kuu la Butimba mara baada ya kuzungumza na wafungwa Mahabusu, pamoja na Askari … “Mtu anaweza akasimama akasema ndege hazina faida; aje awaulize wavuvi wa Mwanza ambao wanavua masamaki, wanapata mabondo pamoja na minofu inaposafirishwa kwa urahisi kwenda Ulaya wanatengeneza pesa. Rais wa Tanzania John Magufuli hii leo Februari 19,2021 ameongoza waombolezaji katika kuaga mwili wa Katibu Mkuu Kiongozi John Kijazi. Magufuli ametoa kauli hiyo hii leo Septemba 7, 2020, na kuwaahidi wana Mwanza wanaokaa milimani kuwa, katika kipindi kijacho hakuna mwananchi yoyote atakayebomolewa nyumba yake na huduma zote zitawafuata huko huko waliko. Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Patrick Mfugale, leo Desemba 16, 2020 amelibadilisha jina Daraja la Busisi lililopo mkoani Mwanza na kuliita JP Magufuli Bridge mara baada ya kufanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wake. BONYEZA HAPA K... Humphrey Shao, Globu ya Jamii ASASI ya Kiraia inayojihusisha na masuala ya kijamii na utetezi wa haki za binadamu (ADOR) imesema kuwa m... Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein akikunjuwa Kitambaa kuashiria Uwekaji wa Jiwe la msingi Je... Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akionyeshwa ratiba ya muda wa mabasi kusafiri na Mkaguzi wa Magari wa ... WABUNGE CCM MWANZA WASEMA MITANO TENA KWA MAGUFULI, WASIFU MAENDELEO YALIYOPATIKANA, TAZAMA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2018 NA MATOKEO YA DARASA LA NNE 2018, NECTA YA TANGAZA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2019, YATAZAME HAPA, MCHANGE AWAVAA WAPINZANI WANAOPOTOSHA MSWAADA WA VYAMA VYA SIASA, RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO JIPYA OFISI YA ZURA ZANZIBAR, WAZIRI SIMBACHAWENE ALISIMAMISHA BASI LILILOKUWA MWENDOKASI, LIKIOVATEKI MLIMANI WILAYANI GAIRO. Daraja hilo ambalo limetajwa kuwa alama ya utambulisho wa Jiji la Mwanza lina urefu wa meta 46, upana wa meta 3.6, kimo cha meta 5.8 na njia za kuingia na kutoka zenye jumla ya meta 700. ... MAGUFULI NDANI YA MWANZA zanzinews.com.